Nenda kwa yaliyomo

Studio albamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Studio album)

Studio albamu au Albamu ya muziki ni mkusanyiko halisi wa nyimbo mpya za msanii wa rekodi za muziki. Hasa alizofanyia kwenye studio.

Kikawaida toleo hili huwa alijumlishi rekodi za kwenye ukumbi na/au maremix, na hata kama ikiwa nayo, basi nyimbo hizo haziwekewi kama orodha ya rasmi ya albamu bali kama "nyimbo za ziada".

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Studio albamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.