Roho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Roho ni umbile la pekee lisiloonekana ambalo linasadikiwa kuwemo pamoja na mwili katika binadamu na kuunda hasa malaika (ambao kati yao wale wabaya wanaitwa mashetani).

Katika lugha mbalimbali umbile hilo linafananishwa na upepo au pumzi.

Mungu mwenyewe anasadikiwa kuwa roho bora. Kwa namna ya pekee Ukristo unasadiki nafsi ya Kimungu ndani ya Utatu inayoitwa Roho Mtakatifu.

Pengine roho inafikiriwa kueleza tofauti kubwa ambayo inajitokeza kati ya binadamu na sokwe upande wa akili na utendaji, na ambayo haielezwi vya kutosha na tofauti katika DNA zao.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roho kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.