Dismas Mtakatifu
Mandhari

Dismas Mtakatifu ni jina lisilo na hakika la mhalifu aliyesulubiwa pamoja na mwenzake na Yesu kwa amri ya Ponsyo Pilato.
Habari hii inasimuliwa na Injili zote (Math 27:38; Mk 15:27-28,32; Lk 23:33; Yoh 19:18) lakini ni Luka tu anayesema kuwa, kati ya hao wawili waliokuwa msalabani kandokando ya Yesu, mmoja alitubu na kumuomba kwa imani, "Ee Yesu, unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako".
Yesu hakuchelewa kumjibu: "Kweli nakuambia, leo hii utakuwa nami katika paradiso".
Ndiyo sababu Wakristo wengi wanamheshimu kama mtakatifu, hasa tarehe 25 Machi[1][2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 90
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Patron Saints: Dismas Ilihifadhiwa 7 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- The Wise Thief hymn from Eastern Orthodox Good Friday service (in English)
- Saint Dismas Ilihifadhiwa 5 Desemba 2011 kwenye Wayback Machine. - Freebase
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dismas Mtakatifu kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
