Meza
Mandhari
Meza ni neno la Kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja, likiweza kumaanisha:
- Meza (samani) ni kifaa chenye miguu mitatu au minne ambayo inashikilia sehemu ya juu na hutenganishwa na sehemu ya kukalia.
- Meza (kundinyota) ni kundinyota mojawapo angani.
- Kumeza ni kitendo cha kupeleka au kuruhusu chakula kilichosagwa mdomoni kielekee tumboni.
