Anafora
Mandhari
Anafora ni jina la matini ya sehemu muhimu zaidi ya Liturujia ya Kimungu (au Misa), ambapo vipaji vya mkate na divai pamoja na maji kidogo vinageuzwa na Roho Mtakatifu kuwa mwili na damu ya Yesu Kristo kadiri ya imani ya Wakristo wengi, hasa Wakatoliki na Waorthodoksi.
Jina hilo linatumiwa hasa katika Ukristo wa Mashariki, wakati madhehebu mengine yanasema zaidi sala ya ekaristi.
"Anafora" ni neno la Kigiriki ἀναφορά, anafora, maana yake "kuchukua nyuma" au "kuchukua juu", na hivyo pia "toleo"[1] hasa kwa maana ya sadaka inayotolewa kwa Mungu).
Muundo wa anafora ni tofautitofauti, hasa kufuatana na mapokeo ambayo yalifikia hatua muhimu katika karne ya 4 na kufuatwa hata leo[2][3], ingawa Uprotestanti uliachana nayo kwa muda mrefu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Liddell, Henry George & Scott, Robert. (1940). A Greek-English Lexicon (revised ed.). Retrieved July 9, 2005.
- ↑ Jasper, Ronald Claud Dudley; Cuming, G. J. (1990). Prayers of the Eucharist: early and reformed. Liturgical Press. ISBN 978-0-8146-6085-0.
- ↑ Senn, Frank C, (1997). Christian Liturgy, Catholic and Evangelical. Augsburg Fortress. ISBN 0-8006-2726-1.
{{cite book}}
: CS1 maint: extra punctuation (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Texts of all the current Catholic Eucharistic Prayers
- Ethiopian Liturgy Ilihifadhiwa 25 Mei 2007 kwenye Wayback Machine. Discusses the 14 official Anaphoras
- Historical Evolution of Ethiopian Anaphoras Ilihifadhiwa 4 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Syriac Anaphoras
- Explanation of the Maronite Divine Liturgy and its Traditions Ilihifadhiwa 28 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine. (broken link, retrieved 11-20-12)
- The Anaphora Ilihifadhiwa 12 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. Eparchy of Saint Maron Commentary on the Holy Mysteries (part 2)
- The Holy Mystery of Offering (Qorbono) Ilihifadhiwa 12 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. Eparchy of Saint Maron Commentary on the Holy Mysteries (part 1)