Papa Pius III
Jump to navigation
Jump to search
Papa Pius III (29 Mei 1439 – 18 Oktoba 1503) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Septemba 1503 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Todeschini Piccolomini.
Alimfuata Papa Aleksanda VI akafuatwa na Papa Julius II.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |