22 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1503 - Uchaguzi wa Papa Pius III
- 1960 - Nchi ya Mali inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1901 - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 1922 - Chen Ning Yang (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957)
- 1946 - King Sunny Adé, mwanamuziki wa Nigeria
- 1979 - Jericho Rosales, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1241 - Snorri Sturluson, mshairi, mwanahistoria na mwanasiasa nchini Iceland
- 1774 - Papa Klementi XIV
- 1956 - Frederick Soddy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921)