Papa Eugenio III
(Elekezwa kutoka Papa Eujeni III)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Eugenio III, O.Cist. alikuwa Papa kuanzia Februari 1145 hadi kifo chake tarehe 8 Julai 1153.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bernardo dei Paganelli di Montemagno.
Alimfuata Papa Lucius II akafuatwa na Papa Anastasio IV.
Tarehe 28 Desemba 1872 Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |