Papa Stefano V
Papa Stefano V alikuwa Papa kuanzia Septemba 885 hadi kifo chake tarehe 14 Septemba 891[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Adriano III akafuatwa na Papa Formosus.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |