Opera Omnia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa wa mbele wa toleo la mwaka 1739 la Opera Omnia ya Bernardino Ramazzini.

Opera Omnia (kwa Kiingereza: Complete Works au Works tu) ni maneno ya Kilatini yanayotumika kwa mkusanyo wa maandishi yote ya mtu fulani. Kwa kawaida unafuatwa na faharasa na misaada mingine ya kitaalamu kwa msomaji.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Opera Omnia kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.