Papa Nikolasi III
Jump to navigation
Jump to search
Papa Nikolasi III (kati ya 1210 na 1220 – 22 Agosti 1280) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba 1277 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Gaetano Orsini.
Alimfuata Papa Yohane XXI akafuatwa na Papa Martino IV.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |