Papa Benedikto V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Benedikto V.

Papa Benedikto V alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Mei hadi 23 Juni 964.

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Yohane XII akafuatwa na Papa Leo VIII.

Alilazimishwa kujiuzulu na Kaisari Otto I wa Ujerumani aliyempeleka kwenda mji wa Hamburg alipofariki tarehe 4 Julai 966.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.