Papa Lucius II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Lucius II.

Papa Lucius II alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Machi 1144 hadi kifo chake tarehe 15 Februari 1145.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gherardo Caccianemici dal Orso.

Alimfuata Papa Selestini II akafuatwa na Papa Eugenio III.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.