Papa Innocent XII
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti XII)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Innocent XII (13 Machi 1615 – 27 Septemba 1700) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1691 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Antonio Pignatelli.
Alimfuata Papa Aleksanda VIII akafuatwa na Papa Klementi XI.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |