Papa Pius I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Pius I.

Papa Pius I alikuwa papa kuanzia takriban 142/146 hadi kifo chake takriban 157/161[1]. Alitokea Aquileia, Italia.

Alimfuata Papa Hyginus akafuatwa na Papa Anicetus.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 11 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  •  This article incorporates text from a publication now in the public domainHerbermann, Charles, ed. (1913). "Pope St. Pius I". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
  • "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, pp 511

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.