Papa Benedikto VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Benedikto VI.

Papa Benedikto VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Januari 973 hadi kifo chake mnamo Julai au Agosti 974.

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Yohane XIII akafuatwa na Papa Benedikto VII.

Alilindwa hasa na Kaisari Otto I wa Ujerumani. Huyo alipofariki, wenyeji wa mji wa Roma walimfunga Benedikto VI na baada ya miezi michache wakamuua.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.