Papa Celestino I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Selestini I)
Jump to navigation Jump to search
Mtakatifu Selestino I.

Papa Celestino I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Septemba 422 hadi kifo chake tarehe 24 Julai 432[1]. Alitokea Campania, Italia.

Alimfuata Papa Boniface I akafuatwa na Papa Sixtus III.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Julai[2] lakini pia 6 Aprili au 8 Aprili.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.