Papa Sixtus III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mtakatifu Sisto III.

Papa Sixtus III alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Julai 432 hadi kifo chake tarehe 19 Agosti 440.

Alimfuata Papa Selestini I akafuatwa na Papa Leo I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.