Papa Eugenio IV
(Elekezwa kutoka Papa Eujeni IV)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Eugenio IV, Can.Reg. (1383 – 23 Februari 1447) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Machi 1431 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gabriele Condulmer.
Alimfuata Papa Martino V akafuatwa na Papa Nikolasi V.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |