Papa Innocent IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti IX)
Jump to navigation Jump to search
Papa Inosenti IX.

Papa Innocent IX (20 Julai 151930 Desemba 1591) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Oktoba 1591 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Antonio Facchinetti.

Alimfuata Papa Gregori XIV akafuatwa na Papa Klementi VIII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.