Papa Zephyrinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Zefirino.

Papa Zephyrinus alikuwa papa kuanzia takriban 198 hadi kifo chake tarehe 20 Desemba 217/218[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Vikta I akafuatwa na Papa Kalisto I.

Mtu wa Roma, alipambana na uzushi kutetea umungu wa Yesu Kristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 20 Desemba[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. "Calendarium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 136
  3. "Martyrologium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Rendina, Claudio, The Popes' Histories and Secrets (2002)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Zephyrinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.