Papa Nikolasi V
Jump to navigation
Jump to search
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 – 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Machi 1447 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.
Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |