Papa Paulo V

Papa Paulo V (17 Septemba 1550 – 28 Januari 1621) alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Mei/29 Mei 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Camillo Borghese.
Alimfuata Papa Leo XI akafuatwa na Papa Gregori XV.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |