28 Januari
Mandhari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Januari ni siku ya ishirini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 337 (338 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1077 - Papa Gregori VII anamsamehe Kaisari Henri IV wa Ujerumani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1600 - Papa Klementi IX
- 1841 - Henry Morton Stanley, mwandishi wa habari kutoka Welisi na Marekani aliyesafiri hasa Afrika Mashariki
- 1922 - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 1938 - Tomas Lindahl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1941 - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 814 - Karolo Mkuu, Mfalme wa Wafaranki, halafu Kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma
- 1621 - Papa Paulo V
- 1908 - Mtakatifu Joseph Freinademetz, S.V.D., padri kutoka Italia mmisionari nchini China
- 1939 - William Butler Yeats, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1923
- 1986
- 1996 - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1987
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Thoma wa Akwino, Yohane wa Reom, Yakobo mkaapweke, Juliani wa Cuenca, Agata Lin Zhao, Jeromu Lu Tingmei, Laurenti Wang Bing, Yosefu Freinademetz n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |