Papa Formosus
Jump to navigation
Jump to search
Papa Formosus (takriban 816 – 4 Aprili 896) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Oktoba, 891 hadi kifo chake.
Alimfuata Papa Stefano V akafuatwa na Papa Boniface VI.
Maiti yake ilichimbuliwa na kunajisiwa na Papa Stefano VI.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Formosus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |