Papa Yohane XI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Yohane XI.

Papa Yohane XI alikuwa Papa kuanzia Machi 931 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 935.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Yohane (labda alizaliwa mwaka 910).

Alimfuata Papa Stefano VII akafuatwa na Papa Leo VII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.