Papa Marcellinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
250pix

Papa Marselino alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Juni 296 hadi kifo chake tarehe 25 Oktoba 304[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Kayo akafuatwa na Papa Marcellus I.

Tangu mwaka 303, Kanisa liliteseka sana chini ya Kaisari Diokletiano.

Ikiwa Marcellino aliuawa au kufa kwa uzee, hakuna uhakika.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 26 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcellinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.