Papa Leo VI
Jump to navigation
Jump to search
Papa Leo VI alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei 928 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 928.
Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo.
Alimfuata Papa Yohane X akafuatwa na Papa Stefano VII.
Leo VI alikuwa Papa wakati Yohane X alikuwa bado hai kifungoni.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |