Papa Hormisdas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Ormisda.

Papa Hormisdas alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Julai 514 hadi kifo chake tarehe 6 Agosti 523[1].

Alimfuata Papa Simako akafuatwa na Papa Yohane I.

Alipochaguliwa alikuwa shemasi mjane; kutokana na ndoa yake alikuwa na mwana aliyekuja kuwa Papa Silverio baadaye.

Alifaulu kumaliza farakano na Kanisa la Kigiriki lililoanzishwa na Patriarki Acacius wa Konstantinopoli (484-519).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Hormisdas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.