Papa Gregori V
Jump to navigation
Jump to search
Papa Gregori V (takriban 972 – 18 Februari 999) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Mei 996 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno.
Alimfuata Papa Yohane XV akafuatwa na Papa Silvester II.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |