Papa Zakaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Zachary)
Jump to navigation Jump to search
Mt. Zakaria Papa.

Papa Zakaria alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Desemba 741 hadi kifo chake tarehe 15 Machi 752[1]. Alitokea Ugiriki[2] au Calabria, Italia.

Jina la baba yake lilikuwa Polichronios.

Alimfuata Papa Gregori III akafuatwa na Papa Stefano II.

Alitangazwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Zakaria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.