Nenda kwa yaliyomo

Balkani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rasi ya Balkani hadi mstari wa mito ya Isonzo-Krka-Sava-Danubi
Ramani ya kisiasa 2004

Rasi ya Balkani ni sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya.

Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia.

Nchi za Balkani

[hariri | hariri chanzo]

Hakuna mapatano kamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hutajwa zifuatazo:

Pengine hata nchi zifuatazo huhesabiwa humo:

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Nchi za Balkani ziko tofauti lakini zinachanga historia ya pekee ya pamoja:

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Balkani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.