Safu ya milima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Safu ya Nyandarua kutoka Mbuga ya Kitaifa ya Aberdare

Safu ya milima ni msururu wa milima iliyokaribiana[1]. Milima hiyo hutenganishwa na nyanda za juu au mabonde.

Mifano ya safu za milima ni kama vile, Safu ya Aberdare, Milima Atlas, Alpi na Himalaya. Safu nyingi za milima duniani zilitokea kama milima kunjamano.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mountains Information and Facts. Iliwekwa mnamo 2018-04-28.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.