Himalaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Himalaya

Himalaya ni safu ya milima katika Asia upande wa kaskazini ya Uhindi. Ng'ambo ya Himalaya ni nyanda za juu za Tibet. Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mikubwa kabisa ya dunia iko Himalaya.

Kati ya milima mikuwba ni Mount Everest, K2 na Nanga Parbat.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Himalaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.