Papa Zakarya
(Elekezwa kutoka Papa Zakaria)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Zakarya alikuwa papa kuanzia 10 Desemba 741 hadi kifo chake tarehe 22 Machi 752.
Jina la baba yake lilikuwa Polichronios, kutoka Calabria, Italia.
Alimfuata Papa Gregori III akafuatwa na Papa Stefano II.
Alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Barua na hati zake zilitolewa na Jacques Paul Migne katika Patrologia Latina lxxxix. p. 917–960.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Zakarya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |