Papa Yohane XVIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane XVIII.

Papa Yohane XVIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Desemba 1003 hadi mwezi Juni au Julai 1009[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Fasanius.

Alimfuata Papa Yohane XVII akafuatwa na Papa Sergius IV.

Alijiuzulu na kufariki mwaka uleule 1009.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tarehe[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XVIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.