Papa Honorius II
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Honori II)
Papa Honorius II (takriban 1036 – 13/14 Februari 1130) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/21 Desemba 1124 hadi kifo chake[1]. Alitokea Fiagnano, Imola, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lamberto Scannabecchi.
Alimfuata Papa Kalisti II akafuatwa na Papa Inosenti II.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |