30 Juni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 30 Juni ni siku ya 181 ya mwaka (ya 182 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 184.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa kwanza wa Kanisa la Roma, Basilide wa Aleksandria, Marsiali wa Limoges, Betirani, Erentruda, Theobadi wa Provins, Ladislao wa Hungaria, Otto wa Bamberg, Adolfo wa Osnabruck, Visenti Yen Do, Raimundi Li Quanzhen, Petro Li Quanhui n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.