Mike Tyson

Michael Gerard Tyson (amezaliwa 30 Juni 1966) ni mpiga ngumi wa uzito wa juu duniani unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBC). Ni bondia wa kwanza kuwahi kutwaa taji hilo akiwa na umri mdogo. Mike alizaliwa katika mji wa Brooklyn New York. Alikuwa mtoto mtukutu akijihusisha na matukio ya uporaji mitaani. Alipelekwa katika shule ya kurekebisha tabia (Jela ya watoto) huko New York. Akiwa huko alionekana mwenye kipaji na mwalimu wa ngumi Mmarekani aitwaye Cus D'Amato ambaye matunda yake mengine ni mwanamasumbwi aitwaye Floyd Petterson na kutwaa taji la ngumi 1956.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Mike Tyson's career boxing record[dead link]
- The Ultimate Mike Tyson Fan Website
- A Mike Tyson Fan Website
- Joyce Carol Oates on Mike Tyson, 1986-1997
- [1]
- June 2005 SI Tyson Retrospective Photo Gallery Archived 21 Februari 2009 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mike Tyson kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |