Petro Li Quanhui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Petro Li Quanhui (Chentuncun, 1837 hivi - Chentuncun, 30 Juni 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa pamoja na mdogo wake Raimundi Li Quanzhen. [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 30 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.