Otto wa Bamberg
Mandhari

Otto wa Bamberg (1060/1061 – 30 Juni 1139) alikuwa chansela wa Dola Takatifu la Roma[1] , halafu askofu wa Bamberg nchini Ujerumani aliyeinjilisha kwa bidii Pomerania[2] alipoongoa Wapagani 20,000 na miji saba bila kutumia silaha kama ilivyofanywa awali[3].
Kwa maadili yake bora[4], tangu kale alitambuliwa kuwa mtakatifu akatangazwa hivyo na Papa Klementi III (1189).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Löffler, Klemens. "St. Otto." The Catholic Encyclopedia. Vol. 11. New York: Robert Appleton Company, 1911. 28 Mar. 2013
- ↑ ""St. Otto, Bishop". Catholic News Agency". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/60350
- ↑ "St. Michael's Monastery, Bamberg". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-25. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 229-230
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Charles Henry Robinson (editor), "The Life of Otto, Apostle of Pomerania, 1060-1139", New York: The Macmillan Company, 1920. Two contemporary biographies by Ebbo, d. 1163 and Herbordus, d. 1168 - from Internet Archive.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |