15 Juni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Juni ni siku ya 166 ya mwaka (ya 167 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 199.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Amosi, Esiki wa Silistra, Vito mfiadini, Abrahamu wa Clermont, Landelini, Lotari wa Seez, Benilde wa Cordoba, Bernardo wa Menthon, Isfridi wa Ratzeburg, Jermana wa Pibrac, Barbara Cui Lianzhi n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.