Barbara Cui Lianzhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Barbara Cui Lianzhi (Xiaotian, 1849 hivi - Liushuitao 15 Juni 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia imani ya Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe 15 Juni, siku ya kifodini chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbara Cui Lianzhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.