Vitus Mtakatifu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Vito mfiadini)
Vitus Mtakatifu alikuwa mtoto Mkristo (labda kutoka Sicilia, kisiwa kikubwa cha Italia) aliyefia dini yake wakati wa dhuluma za makaisari wa Dola la Roma Diocletian na Maximian mwaka 303, akiwa na umri wa miaka 13 hivi[1].
Kwa sababu hiyo tangu kale Vitus peke yake, baadaye pamoja na walezi wake Modesto na Kreshensya[2][3], anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni[4] ambayo kwa Waorthodoksi ni tarehe 28 Juni ya kalenda ya kimataifa.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mt. Vitus huko Heiligenstadt, Franconia
-
Kifodini cha Mt. Vitus, Ujerumani, 1450 hivi
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ www.santiebeati.it/dettaglio/57300
- ↑ The earliest testimony for their veneration is offered by the "Martyrologium Hieronymianum" (ed. G. B. de Rossi-Louis Duchesne, 78: "In Sicilia, Viti, Modesti et Crescentiae"). The fact that the note is in the three most important manuscripts indicates that it was also in the common exemplar of these, which appeared in the fifth century.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/77000
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Saints Vitus, Modestus, and Crescentia katika Open Directory Project
- Patron Saints Index profile of Saint Vitus Ilihifadhiwa 8 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Online profile of Saint Vitus
- Information on Saint Vitus, the saint, on saintvitus.com
- (Kiitalia) San Vito
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |