Vitus Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Vitus katika Nuremberg Chronicle, 1493.
Kifodini cha Vitus, Modestus na Kreshensya.

Vitus Mtakatifu alikuwa mtoto Mkristo wa Sicilia (kisiwa kikubwa cha Italia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma za makaisari wa Dola la Roma Diocletian na Maximian mwaka 303, akiwa na umri wa miaka 13 hivi.

Kwa sababu hiyo tangu kale Vitus, pamoja na wenzake Modestus na Kreshensya[1] , anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni ambayo kwa Waorthodoksi ni tarehe 28 Juni ya kalenda ya kimataifa.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The earliest testimony for their veneration is offered by the "Martyrologium Hieronymianum" (ed. G. B. de Rossi-Louis Duchesne, 78: "In Sicilia, Viti, Modesti et Crescentiae"). The fact that the note is in the three most important manuscripts indicates that it was also in the common exemplar of these, which appeared in the fifth century.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.