Nenda kwa yaliyomo

Esiki wa Silistra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Esiki wa Silistra (alifariki Silistra, Mesia, leo nchini Bulgaria, 302 hivi) alikuwa askari wa Durostoro aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano baada ya mwenzake Julio[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake ni tarehe 15 Juni[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/57310
  2. Musurillo, Herbert (1972). The Acts of the Christian Martyrs. Oxford: Clarendon Press. uk. xxxix, 260-265. ISBN 0198268068.
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  • L. Arik Greenberg: My Share of God's Reward. Exploring the Roles and Formulations of the Afterlife in Early Christian Martyrdom, Reihe: Studies in Biblical Literature - Band 121, Lang, New York, Bern, Berlin, Bruxelles, Frankfurt am Main, Oxford, Wien 2009, ISBN 978-1-4331-0487-9, S. 195–198.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.