1845
Jump to navigation
Jump to search
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| ►
◄◄ |
◄ |
1841 |
1842 |
1843 |
1844 |
1845
| 1846
| 1847
| 1848
| 1849
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1845 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 3 Machi - Florida imekuwa jimbo la 27 la Marekani.
- 29 Desemba - Texas inajiunga na Marekani kama jimbo la 28.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
- 15 Februari - Elihu Root (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1912)
- 27 Machi - Wilhelm Conrad Röntgen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901)
- 16 Mei - Ilya Mechnikov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908)
- 24 Aprili - Carl Spitteler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919)
- 18 Juni - Alphonse Laveran (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907)
- 16 Agosti - Gabriel Lippmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 8 Juni - Andrew Jackson, Rais wa Marekani 1829-37
Wikimedia Commons ina media kuhusu: