Carl Spitteler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Spitteler mnamo 1905

Carl Friedrich Georg Spitteler (24 Aprili 184529 Desemba 1924) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Uswisi. Hasa aliandika mashairi, riwaya fupi na insha. Mwaka wa 1919 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Spitteler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.