Edvard Grieg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edvard Grieg, 1888

Edvard Hagerup Grieg (15 Juni 1843- 4 Septemba 1907) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchi Norwei. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi wa Opera kwa kipindi cha Romantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Nakala na baadhi ya rekodi za Edvard Grieg[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edvard Grieg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber