John Field (mtunzi)
Mandhari
(Elekezwa kutoka John Field (composer))
John Field (26 Julai 1782 – 23 Januari 1837) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa kwanza kutunga nyimbo za kupigwa nyakati za usiku (kwa Kiing. nocturnes).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- John Field: The Irish Romantic (1782-1837) Archived 7 Februari 2008 at the Wayback Machine.(Dead Link)
- An article on Field originally published in The Etude, 1915 Archived 5 Februari 2005 at the Wayback Machine.
- John Field ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Field (mtunzi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |